UONGOZI WA CHUO CHA PHILADELPHIA SCHOOL OF MISSION KILICHOPO MBALIZI MBEYA
KINAPENDA KUWATANGAZIA WATU WOTE.MUHULA WA MASOMO KWA MWAKA WA MASOMO WA 2013/2014 MASOMO YA THIAOLOJIA NA HUDUMA ZA KANISA KWA NGAZI YA STASHAHADA MIAKA MIWILI NA NGAZI YA CHETI MWAKA MMOJA.
Wenu katika mavuno
Rev.Dr.Erick L M Mponzi
MKURUGENZI WA CHUO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni